3bdrm House in Kimara Temboni for rent - Kimara - by Selebobo Agent s. - 1
1 / 10

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri

Kulingana na matangazo 1037 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 80K - TSh 110.0M

Kulingana na matangazo 1037 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Period
per month
Subtype
Semi-Detached
Toilets
2
Bedrooms
3
Bathrooms
1
Condition
Fairly Used
Facilities
24 Hours Electricity
Furnishing
Unfurnished
Listing by
Agent
Property Type
House

Maelezo

Apartment nzuri ya kisasa inapangishwa bei ni 500,000/= x 6 itakua wazi kuanzia tarehe 26/12/2024 au mapema zaidi ya hapo na kuona ndani ruksa endapo mpangaji atakuwepo apartment hii ina sifa zifuatazo #vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master bedroom #sebule kubwa sana #jiko kubwa #public toilet #parking bei ni 500,000/= x 6 apartment hii ipo kimara temboni upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 12 tuu kwa miguu na njia ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba kuoneshwa nyumba hii garama yake ni shilingi elfu 15 na ukiipenda nyumba hii utalipia pesa ya udalali kodi ya mwezi mmoja