3bdrm House in Kiluvya for Sale - 1
1 / 8

Uchambuzi wa Bei Bei ya Kawaida

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 6.0M - TSh 9100.0M

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Bedrooms
3
Bathrooms
2
Condition
Fairly Used
Furnishing
Unfurnished
Parking Space
Yes
Property Type
House

Maelezo

Nyumba inauzwa ipo kiluvya gogoni Kutoka Morogoro road ni km 1.5. Bei ni tsh milion 200 maongezi yapo sana imo kwenye eneo kubwa Sana. Ukubwa wa eneo ni Acre Moja na lote lizmezungushiwa fensi ukuta Umiliki: Hati kamili toka wizara ya ardhi yaani clean tittle deed Ina Vyumba Vinne vya kulala Two master bedrooms Public Toilet Kitchen Dinning room Sitting room kubwa Fenced maji dawasco yapo umeme upo Vyumba vyote vina makabati