3bdrm House in Dalali Papaatzseven, Mbezi for Rent - 1
1 / 10

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri

Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 70K - TSh 1500.0M

Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Pets
No Pets
Period
per month
Bedrooms
3
Bathrooms
1
Condition
Newly Built
Facilities
24 Hours Electricity
Furnishing
Unfurnished
Property Type
House

Maelezo

Nyumba kubwa ya kisasa ya familia inayojitegemea yenyewe kwenye fensi inapangishwa eneo mbezi mwisho _________________________________ nyumba hii ina sifa zifuatazo _____________________ #vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master #sebule kubwa sana #jiko kubwa la kisasa #public toilet #makabati ya nguo vyumba vyote #garden nzuri #parking ________________ !! electric fence + alam nyenye mlio mkubwa sana #ulinzi ni wa kutosha #maji dawasa yapo na yanapatikana masaa 24 ___________________ nyumba hii ipo mbezi mwisho upande wa kulia nyuma ya stand kuu ya magufuli terminal, kutoka main road hadi kwenye nyumba ni km 1 _______________ _______ ilipwe laki 5 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu _____ njia ya gari ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba _______