3bdrm House in Bagamoyo Kitopeni for sale - Bagamoyo - by Prince P. - 1
1 / 6

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 6.0M - TSh 9100.0M

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Subtype
Detached
Toilets
1
Bedrooms
3
Bathrooms
2
Condition
Fairly Used
Furnishing
Unfurnished
Listing by
Agent
Property Type
House

Maelezo

Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa milioni 60 maongezi yapo ipo *bagamoyo mjini* (kitopeni street) - dar es salaam - tanzania ina vyumba vitatu vya kulala ◇master bedroom sitting room dining room ◇ kitchen ◇store public toilet ◇ nyumba ina servant cotta ◇ nyumba ina mpangaji kodi ni laki 370 kwa mwezi (nyumba kubwa laki 250 servant cotta laki 120) jumla ni tsh 370 kwa mwezi. ukubwa wa kiwanja: sqmt 500 ◇document clean title deed ( hati miliki kutoka wizara ya aridhi) ◇maji safi dawasco umeme vyote vipo ndani ya nyumba ◇umbali 150 tu kutoka bara ya ya lami ya bagamoyo two dar es salaam au stendi ◇noted: ukishuka kwenye gari unatembea tu kwa mguu kwenda nyumbani.