
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri
Kulingana na matangazo 1037 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 80K - TSh 110.0M
Kulingana na matangazo 1037 yanayofanana
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Pets
- No Pets
- Period
- per month
- Bedrooms
- 3
- Bathrooms
- 2
- Condition
- Fairly Used
- Facilities
- Microwave
- Furnishing
- Unfurnished
- Property Type
- Farm House
Maelezo
Nyumba kubwa ya kisasa ya familia inayojitegemea yenyewe kwenye fensi #vyumba 3 vikubwa sana vya kulala kati ya hivyo vyumba 2 ni master bedroom kubwa sana #makabati ya nguo vyumba vyote #sebule kubwa sana !!jiko kubwa sana la kisasa #store #choo kizuri cha familia #parking kubwa #garden nzuri #paving #maji dawasa yanatoka ndani masaa 24 ilipwe laki 5 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu nyumba hii kubwa ya familia ipo kimara stop over upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 20 tuu kwa miguu njia ya gari ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba ndugu mteja