3bdrm Bungalow in Kimara Temboni for rent - Kimara - by Selebobo Agent s. - 1
1 / 8

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri

Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 70K - TSh 1500.0M

Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Period
per month
Subtype
Detached
Toilets
2
Bedrooms
3
Bathrooms
3
Condition
Newly Built
Facilities
24 Hours Electricity
Furnishing
Unfurnished
Listing by
Agent
Property Type
Bungalow

Maelezo

Nyumba kubwa ya familia inayojitegemea yenyewe kwenye fensi inapangishwa bei ni 500,000/= x 6 nyumba hii ina sifa zifuatazo #vyumba 3 vikubwa vya kulala kimojawapo ni master bedroom kubwa #sebule kubwa #dinning #jiko kubwa #store #public toilet #parking kubwa bei ni 500,000/= x 6 nyumba hii kubwa ya familia inayojitegemea yenyewe kwenye fensi ipo kimara temboni upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1 usafiri ni bajaji sh 500 na ukishuka tuu kwenye bajaji unatembea dk 2 upo kwenye nyumba kuoneshwa nyumba hii garama yake ni shilingi elfu 15 na ukiipenda nyumba hii utalipia pesa ya udalali kodi ya mwezi mmoja njia ya gari ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba