
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri
Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 70K - TSh 1500.0M
Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Pets
- No Pets
- Period
- per month
- Bedrooms
- 3
- Bathrooms
- 2
- Condition
- Newly Built
- Facilities
- Balcony
- Furnishing
- Unfurnished
- Property Type
- Bungalow
Maelezo
Nyumba mpya kubwa ya familia inayojitegemea yenyewe kwenye fensi inapangishwa nyumba hii ina sifa zifuatazo #vyumba 3 vikubwa sana vya kulala kimojawapo ni master #sebule kubwa #dining #jiko kubwa la kisasa #store #public toilet #paving #parking kubwa #maji dawasa yanatoka ndani masaa 24 nyumba hii ipo mbezi goba ya mwanzo na kutoka goba road hadi kwenye nyumba ni dk 12 tuu kwa miguu ilipwe laki 5 na nusu tuu kwa mwezi malipo ya miezi 6 na kuendelea njia ya gari ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba