
Uchambuzi wa Bei Bei ya Kawaida
Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 6.0M - TSh 9100.0M
Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Toilets
- 1
- Bedrooms
- 3
- Bathrooms
- 2
- Condition
- Fairly Used
- Furnishing
- Unfurnished
- Listing by
- Agent
- Property Type
- Apartment
Maelezo
Nyumba za kupangisha (apartment) zinauzwa zote mbili ndani ya eneo moja mbezi kibanda cha mkaa (dar es salam) kila moja ina vyumba viwil kimoja master,sitting, kitchen&public toilet umiliki: hati miliki (title deed) ukubwa wa eneo: sqm 2987 umbali: dakika kumi (10) kutoka morogoro road kwa miguu kila apartment moja ina pangisha laki tatu (300k) kwa mwezi na zote zina wapangaji nyumba kila mpangaji ana jitegemea maji na umeme wake bei : 200 million (maongezi yapo) gharama za kwenda site ni tshs 30,000/=