2bdrm House in Kimara Temboni for Rent - 1
1 / 18

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri Sana

Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 70K - TSh 1500.0M

Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana

Vidokezo vya Mazungumzo

Bei iko chini ya soko

Ofa inayopendekezwa: TSh 300K

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Pets
No Pets
Period
per month
Bedrooms
2
Bathrooms
1
Condition
Newly Built
Facilities
Apartment
Furnishing
Unfurnished
Property Type
House

Maelezo

Apartment nzuri sana ya kisasa inapangishwa (soma maelezo kwa umakini ndugu mteja) apartment hii ina sifa zifuatazo #vyumba 2 vya kulala kimojawapo ni master #sebule ya wastani #jiko zuri la kisasa #public toilet #paving #zipo apartment 4 tuu kwenye fensi moja na hii moja ndio inapangishwa #luku na mita ya maji dawasa inajitegemea #garden ilipwe laki 3 tuu kwa mwezi malipo ya miezi 6 apartment hii ipo kimara temboni upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1 tuu njia ni lami tupu hadi kwenye nyumba,usafiri ni bajaji sh 500 ukishuka tuu kwenye bajaji unatembea dk 2 upo kwenye nyumba apartment hii itakua wazi kuanzia tarehe 30/10/2022 kuona na kulipia ni ruksa kabisa ndugu mteja