
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri
Kulingana na matangazo 1037 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 80K - TSh 110.0M
Kulingana na matangazo 1037 yanayofanana
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Period
- per month
- Subtype
- Detached
- Toilets
- 2
- Bedrooms
- 2
- Bathrooms
- 3
- Condition
- Fairly Used
- Facilities
- 24 Hours Electricity
- Furnishing
- Unfurnished
- Listing by
- Agent
- Property Type
- Bungalow
Maelezo
Nyumba nzuri inajitegemea yenyewe kwenye fensi na ipo mtaa mzuri sana inapangishwa bei ni 350,000/= x 3 nyumba hii ina sifa zifuatazo #vyumba 2 vikubwa sana vya kulala kimojawapo ni master bedroom kubwa #sebule kubwa #jiko kubwa sana #store #public toilet #parking kubwa #maji dawasa yanatoka ndani masaa 24 bei ni 350,000/= x 3 ilipwe laki 3 na nusu kwa mwezi malipo ya miezi 3 na kuendelea nyumba hii ipo kimara temboni upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1.8 usafiri ni bajaji au bodaboda na njia ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba kuoneshwa nyumba hii garama yake ni shilingi elfu 15 na ukiipenda nyumba hii utalipia pesa ya udalali kodi ya mwezi mmoja