
Uchambuzi wa Bei Bei ya Kawaida
Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 70K - TSh 1500.0M
Kulingana na matangazo 1701 yanayofanana
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Period
- per month
- Toilets
- 2
- Bedrooms
- 2
- Bathrooms
- 2
- Condition
- Newly Built
- Facilities
- 24 Hours Electricity
- Furnishing
- Unfurnished
- Listing by
- Agent
- Property Type
- Apartment
- Self Contained
- Yes
Maelezo
Apartment nzuri sana ya kisasa sana ni inapangishwa na ipo mtaa mzuri sana apartment bei ni 1,000,000/= x 6 itakua tayari kuhamia kuanzia tarehe 01/02/2025 apartment hii ina sifa zifuatazo #vyumba 2 vikubwa sana vya kulala kimojawapo ni master bedroom kubwa sana #vyumba vyote vinamakabati ndani #sebule kubwa sana #jiko kubwa sana la kisasa yaani ni #public toilet #air condition #heater #free wi-fi #ulinzi ni bure na usafi wa mazingira ni bure full security (24 hours) #garden bei ni 1,000,000/= x 6 ilipwe milioni moja kwa mwezi apartment hii ipo kimara stop over na kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 10 tuu kwa miguu na njia ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba kuoneshwa nyumba hii garama yake ni shilingi elfu 20 na ukiipenda nyumba hii utalipia pesa ya udalali kodi yamwez1