
Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri
Kulingana na matangazo 1037 yanayofanana
Bidhaa zinazofanana: TSh 80K - TSh 110.0M
Kulingana na matangazo 1037 yanayofanana
Mahitaji ya Soko
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Muda wa Soko
Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku
Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza
Maelezo Zaidi
- Period
- per month
- Toilets
- 2
- Bedrooms
- 1
- Bathrooms
- 2
- Condition
- Fairly Used
- Facilities
- 24 Hours Electricity
- Furnishing
- Unfurnished
- Listing by
- Agent
- Property Type
- Bedsitter
Maelezo
Apartment mpya za kisasa zinapangishwa bei ni 400,000/= x 6 apartment hii ina sifa zifuatazo #chumba master bedroom kubwa na kabati lake #sebule kubwa #jiko kubwa la kisasa #air condition kote #heater # free wi - fi #garden nzuri inatengenezwa #ulinzi bure masaa 24 #parking kubwa #luku na mita ya maji dawasa inajitegemea bei ni 400,000/= x 6 apartment hizi zipo kimara temboni upande wa kushoto kama unaenda mbezi au unaweza kupitia kwa msuguri njia zote ni karibu na kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 6 tuu kwa miguu kuoneshwa nyumba hii garama yake ni shilingi elfu 15 na ukiipenda nyumba hii utalipia pesa ya udalali kodi ya mwezi mmoja njia ya gari ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba