1bdrm Apartment in Kimara for Rent - 1
1 / 18

Uchambuzi wa Bei Bei Nzuri Sana

Kulingana na matangazo 1037 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 80K - TSh 110.0M

Kulingana na matangazo 1037 yanayofanana

Vidokezo vya Mazungumzo

Bei iko chini ya soko

Ofa inayopendekezwa: TSh 200K

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Pets
No Pets
Period
per month
Bedrooms
1
Bathrooms
2
Condition
Fairly Used
Facilities
Microwave
Furnishing
Unfurnished
Property Type
Apartment

Maelezo

Apartment nzuri ya kisasa ya kibachela inapangishwa apartment hii ina sifa zifuatazo #chumba master kikubwa #sebule kubwa #jiko kubwa #luku na mita ya maji dawasa inajitegemea #parking ilipwe laki 2 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu apartment hii ipo mbezi kibanda cha mkaa upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1.8 usafiri ni bajaji sh 700 na ukishuka tuu kwenye bajaji unatembea dk 2 upo kwenye nyumba pia unaweza kushukia au kupitia kwa gari njia ya kimara temboni upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 2 !! apartment hii itakua wazi kuanzia tarehe 01/01/2023 kuona na kulipia ni ruksa kabisa ndugu mteja apartment hizi naongea na mmiliki ( no chain hapa)