11 Acres Industrial Plot for Sale Kibaha - 1
1 / 9

Uchambuzi wa Bei Bei ya Kawaida

Kulingana na matangazo 132 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 2.5M - TSh 7504.0M

Kulingana na matangazo 132 yanayofanana

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Type
Commercial Land
Listing by
Agent
Property Use
Commercial
Type of Purchase
Outright Price

Maelezo

*eneo la kiwanda ekari 11 linauzwa milioni 330 maongezi yapo* location : kibaha visiga madafu (mbwawa) *location* eneo liko upande wa kulia ukitokea dar na mkono wa kushoto ukitokea morogoro -eneo ni tambarare kabisa na limepakana na kiwanda -plot size ni sqmt 44574 sawa na ekari 11 -document; clean title deed (hati safi kutoka wizara ya ardhi) -umeme mkubwa na bomba kubwa la maji kwajili ya matumizi ya kiwanda vyote vipo -eneo hili nimekamata bara bara kuu ya viwanda kutoka (*visiga madafu two mbwawa*) *bei shilingi milioni 330 maongezi yapo* iss