10bdrm Apartment in Tabata Kinyerezi, Kinondoni for Sale - 1
1 / 8

Uchambuzi wa Bei Juu ya Soko

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Bidhaa zinazofanana: TSh 6.0M - TSh 9100.0M

Kulingana na matangazo 1221 yanayofanana

Vidokezo vya Mazungumzo

Bei iko juu ya soko

Ofa inayopendekezwa: TSh 120.0M

Punguzo hadi 78%

Mahitaji ya Soko

Mahitaji Madogo

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Muda wa Soko

Bidhaa zinazofanana zinauzwa ndani ya ~9 siku

Mahitaji madogo - inaweza kuchukua muda kuuza

Maelezo Zaidi

Bedrooms
10
Bathrooms
5
Condition
Fairly Used
Furnishing
Unfurnished
Parking Space
Yes
Property Type
Apartment

Maelezo

Apartments inauzwa LOCATION: Tabata kinyezi mwisho Bei Tsh milion 550 maongezi yapo kuna apartments zipo 8 vyumba 2 vya kulala,chumba kimoja master, sebule, jiko,public toilet ziko 5 Kuna chumba, sebule choo na jiko zipo 3 kila apartment ina jitegemea kwa umeme na maji yaani kila apartment ina luku yake ya umeme na mita yake ya maji kwa sasa wapangaji Wamehama nyumba ipo wazi mteja akifika anaangalia nyumba zote kuna parking mbili mawili na milango 2 mbele na nyuma Ukubwa wa kiwanja SQM 1500 Umiliki: Hati miliki safi toka wizara ya ardhi KWA KUPANGISHA BEI ZAKE NI; Vyumba 2 vya kulala, chumba kimoja master, jiko, sitting room, public toilet kodi 300000 kwa mwezi chumba, sebule, choo na jiko 200000 kwa mwezi nyumba zipo mahali pazuri ulinzi wa kutosha wa maji dawasa kila mtu na tanki lake